Jifunze Kuchanganya Chakula Cha Nguruwe

jifunze Kuchanganya Chakula Cha Nguruwe Youtube
jifunze Kuchanganya Chakula Cha Nguruwe Youtube

Jifunze Kuchanganya Chakula Cha Nguruwe Youtube Nguruwe wenye afya ni wale walio na lishe bora, ili kupata nguruwe mwenye afya wewe mfugaji no sharti uzingatie kuwapa nguruwe wako chakula chenye virutubish. Lishe bora hupunguza gharama za ufugaji na hivyo kuongeza faida kwa mfugaji kwa sababu nguruwe atahitaji kiasi kidogo tu cha chakula na atachukua muda mfupi kupata uzito mkubwa. 3. lishe bora itapunguza maambukizi ya magonjwa. 4. lishe bora huongeza kiasi cha mayai yatakayoivishwa na mama nguruwe na hivyo kuongeza idadi ya watoto watakaozaliwa.

Part 1 jifunze Kutengeneza chakula cha nguruwe cha Asili Kwa Gharama
Part 1 jifunze Kutengeneza chakula cha nguruwe cha Asili Kwa Gharama

Part 1 Jifunze Kutengeneza Chakula Cha Nguruwe Cha Asili Kwa Gharama Wakati wakuchanganya chakula hakikisha unachanganya katika uwiano sahii, ili kuwezesha nguruwe kupata kiasi sahihi cha virutubisho. chakula cha kutia nguvu mwili (wanga)65 75%. vyakula vya kujenga mwili (protein)20 25%. vyakula vya vitamin 2 3%. madini1.5 – 2%. #farming #piglets #ufugajiwanguruwe ️ jifunze zaidi ufugaji wa nguruwe playlist?list=pl8xez8eh4s0gdq3xkp8oa6yxk mwd9hso ️ utunzaji wa. Mashudu ya alizeti kilo kumi na tano. dagaa walio sagwa kilo nne. chokaa ya mifugo kilo mbili. pig mix nusu kilo (0.5kg). chumvi nusu kilo (0.5 kg). ni muhimu kukumbuka kuwa unapo wachanganyia nguruwe chakula hiki, kwa nguruwe dume akifikisha miezi sita anakuwa na kilo sitini (60) na kuendelea. maoni kupitia facebook. sambaza chapisho hili. Nguruwe anahitaji maji wakati wote. mahitaji kwa ajili ya kutengeneza chakula cha nguruwe; • chumvi paketi tatu (3) • pumba ya mchele kilo 110 • unga wa soya kilo 16.5 • mashudu kilo 11 • karboni gramu 3.3 (ina kalsiamu, inasaidia mmengenyo wa chakula na kuondoa gesi) • molasis mililita 440 (ina kinga magonjwa na kuzuia harufu mbaya).

Comments are closed.