Pdf Hotuba Za Mahafali Ya Kumi Ya Chuo Kikuu Cha Afya Na

pdf Hotuba Za Mahafali Ya Kumi Ya Chuo Kikuu Cha Afya Na в hotuba
pdf Hotuba Za Mahafali Ya Kumi Ya Chuo Kikuu Cha Afya Na в hotuba

Pdf Hotuba Za Mahafali Ya Kumi Ya Chuo Kikuu Cha Afya Na в Hotuba Hotuba za mahafali ya kumi ya chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi muhimbili4. kusherehekea siku ya leo. kipekee kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati na pongezi kwa maprofesa, wahadhiri pamoja na wafanyakazi wote wa chuo na wa hospitali ya taifa muhimbili, hospitali ya mifupa (moi), taasisi ya saratani ya ocean road na taasisi ya moyo ya jakaya kikwete kwa michango yao. Mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam na rais mstaafu wa tanzania, dk jakaya kikwete na makamu mkuu wa chuo, profesa william a. l. anangisye (wa pili kushoto) wakikabidhi bendera ya chuo kwa mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 1983, juan jacomino castellanos (kulia) kutoka cuba katika mahafali ya 53 duru ya kwanza yaliyofanyika katika ukumbi wa mlimani city, mei 19, 2023.

mahafali ya kumi na Nne ya chuo kikuu cha afya
mahafali ya kumi na Nne ya chuo kikuu cha afya

Mahafali Ya Kumi Na Nne Ya Chuo Kikuu Cha Afya Mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania dkt. jakaya mrisho kikwete akiteta jambo na makamu mkuu wa chuo profesa william a.l. anangisye katika mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika ukumbi wa mlimani city jijini dar es salaam leo jumanne oktoba 17, 2023. Makamu mkuu wa chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi muhimbili (muhas) profesa andrea pembe akisoma hotuba yake wakati wa mahafali ya 12 ya chuo hicho yaliyofanyika jijini dar es salaam. pembeni kulia ni mkuu wa chuo hicho rais mstaafu wa awamu ya pili mhe. ali hassan mwinyi na mwenyekiti wa baraza la chuo kikuu cha afya na sayansi. Chuo kikuu cha dar es salaam, kampasi ya mwalimu julius nyerere, mlimani, kinapenda kuwataarifu wadau wa chuo na umma kwa ujumla kuwa kitafanya mahafali ya hamsini na moja (51) duru ya pili na ya tatu siku ya jumamosi, tarehe 16 oktoba 2021 na jumatano, tarehe 20 oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa mlimani city, kuanzia saa nne asubuhi. Mahafali ya 40 yalifanyika visiwani zanzibar, tarehe 25 novemba, 2021, kwa ufanisi mkubwa na tuliitumia fursa hiyo kukitangaza chuo huko visiwani. mpaka sasa hakuna mkoa ulioleta maombi ya kuwa wenyeji wa mahafali ya 41, na ifikapo kikao cha baraza la chuo lijalo, march 25, 2022, tutatangaza kuyafanyia bungo, kibaha.

Comments are closed.