Tafakari Ya Injili Ya Siku Jumamosi Katika Oktava Ya Pasaka Yout

tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumanne Juma La 1 La Majilio 0
tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumanne Juma La 1 La Majilio 0

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo Jumanne Juma La 1 La Majilio 0 Itukuzwe damu ya kristo! milele amina!whatsapp group chat.whatsapp iungnq1xj2l ️karibu mwanafamilia ya st. gaspar media! ️hili ni channel maa. Injili mk 16:9–15. yesu alipofufuka alfajiri siku ya kwanza ya juma, alimtokea kwanza mariamu magdalene, ambaye kwamba alimtoa pepo saba. huyo akashika njia akawapasha habari wale waliokuwa pamoja naye, nao wakali wanaomboleza na kulia. walakini hao waliposikia kama yu hai, naye amemwona, hawakusadiki.

tafakari ya injili ya siku ya Leo jumamosi ya Juma L
tafakari ya injili ya siku ya Leo jumamosi ya Juma L

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo Jumamosi Ya Juma L Itukuzwe damu ya kristo! milele amina!whatsapp group chat.whatsapp iungnq1xj2l ️karibu mwanafamilia ya st. gaspar media! ️hili ni channel maa. Tafakari: “kuishi imani ya kweli”. wapendwa wana wa mungu, tukiwa katika oktava ya pasaka, yaani siku nane za pasaka, kwa leo tutafakari neno hili, “kuishi imani ya kweli.”. moja ya kweli kwamba kristo amefufuka na yu hai, ni ujasiri wa jumuiya ya kwanza ya wakristo kuishi kwa matendo na kumuhubiri kristo mfufuka bila shaka na wasiwasi. Tafakari: “tuyatafute yaliyo juu kristo aliko; yote yatafunuliwa katika maisha yetu kuelekea alikoketi mkono wa kuume wa mungu,”. wapendwa wana wa mungu, jumapili hii ya pasaka yaani tukio hili la kufufuka kwake bwana wetu yesu kristo, ndiyo uliokuwa mwanzo wa wakristo, yaani wafuasi wake yesu kristo, kuanza kuadhimisha matendo makuu ya. Tafakari ya somo la injili: injili tunayokwenda kuitafakari dominika hii inatoka sura ya 14 ya injili ya yohana. mazingira ya somo hili ni katika karamu ya mwisho yaani ile siku ya alhamisi kuu yesu alipoketi na wanafunzi wake kula pasaka ya wayahudi na ni hapo alipowaachia wanafunzi wake ekaristi takatifu, sakramenti ya daraja na amri kuu ya.

tafakari ya injili ya siku jumamosi katika oktava ођ
tafakari ya injili ya siku jumamosi katika oktava ођ

Tafakari Ya Injili Ya Siku Jumamosi Katika Oktava ођ Tafakari: “tuyatafute yaliyo juu kristo aliko; yote yatafunuliwa katika maisha yetu kuelekea alikoketi mkono wa kuume wa mungu,”. wapendwa wana wa mungu, jumapili hii ya pasaka yaani tukio hili la kufufuka kwake bwana wetu yesu kristo, ndiyo uliokuwa mwanzo wa wakristo, yaani wafuasi wake yesu kristo, kuanza kuadhimisha matendo makuu ya. Tafakari ya somo la injili: injili tunayokwenda kuitafakari dominika hii inatoka sura ya 14 ya injili ya yohana. mazingira ya somo hili ni katika karamu ya mwisho yaani ile siku ya alhamisi kuu yesu alipoketi na wanafunzi wake kula pasaka ya wayahudi na ni hapo alipowaachia wanafunzi wake ekaristi takatifu, sakramenti ya daraja na amri kuu ya. Na padre paschal ighondo, vatican. tafakari ya neno la mungu dominika ya tatu ya pasaka mwaka b. masomo ya dominika hii yanatualika kukutana na kumtambua kristo yesu mfufuka katika adhimisho la sadaka ya misa takatifu kwa kusikiliza neno lake na katika kuumega mkate. lakini ili tustahili kukutana na yesu sharti tujiandae kwa kujitakasa, kwa. Tafakari: “kaa pamoja nasi bwana.”. wapendwa wana wa mungu, leo mama kanisa anaadhimisha dominika ya tatu ya pasaka ya mwaka “a” wa kanisa. masomo yetu ya leo yanatutafakarisha namna ya kukaa na bwana wetu yesu kristo. huu ni mkao wa kipasaka. ni mkao wa ufufuko. ni mkao wa kuyatafuta yale ya juu kristo aliko, kol 3:1.

tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumapili ya Juma La Tatu
tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumapili ya Juma La Tatu

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo Jumapili Ya Juma La Tatu Na padre paschal ighondo, vatican. tafakari ya neno la mungu dominika ya tatu ya pasaka mwaka b. masomo ya dominika hii yanatualika kukutana na kumtambua kristo yesu mfufuka katika adhimisho la sadaka ya misa takatifu kwa kusikiliza neno lake na katika kuumega mkate. lakini ili tustahili kukutana na yesu sharti tujiandae kwa kujitakasa, kwa. Tafakari: “kaa pamoja nasi bwana.”. wapendwa wana wa mungu, leo mama kanisa anaadhimisha dominika ya tatu ya pasaka ya mwaka “a” wa kanisa. masomo yetu ya leo yanatutafakarisha namna ya kukaa na bwana wetu yesu kristo. huu ni mkao wa kipasaka. ni mkao wa ufufuko. ni mkao wa kuyatafuta yale ya juu kristo aliko, kol 3:1.

tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumanne ya Juma La Kwanz
tafakari ya injili ya siku ya Leo Jumanne ya Juma La Kwanz

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo Jumanne Ya Juma La Kwanz

Comments are closed.