Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo Jumatatu Oktava ођ

tafakari ya injili ya siku ya leo May 24 2023 Youtube
tafakari ya injili ya siku ya leo May 24 2023 Youtube

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo May 24 2023 Youtube Itukuzwe damu ya kristo! milele amina! ️karibu mwanafamilia ya st. gaspar media! ️hili ni channel maalum inayomilikiwa na seminari kuu ya mt. gaspari del b. Itukuzwe damu ya kristo! milele amina!whatsapp group chat.whatsapp iungnq1xj2l ️karibu mwanafamilia ya st. gaspar media! ️hili ni channel maa.

tafakari ya injili ya siku ya leo 27 March Youtube
tafakari ya injili ya siku ya leo 27 March Youtube

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo 27 March Youtube Tafakari: “kuishi imani ya kweli”. wapendwa wana wa mungu, tukiwa katika oktava ya pasaka, yaani siku nane za pasaka, kwa leo tutafakari neno hili, “kuishi imani ya kweli.”. moja ya kweli kwamba kristo amefufuka na yu hai, ni ujasiri wa jumuiya ya kwanza ya wakristo kuishi kwa matendo na kumuhubiri kristo mfufuka bila shaka na wasiwasi. Hivyo somo letu la kwanza na injili, yanatutafakarisha juu ya maisha ya nuru ambayo msingi wake ni kuishi katika kweli na haki. kweli na haki hutuongoza kuzishika amri za mungu kwa uaminifu. “ na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake,” 1yoh 2:3. Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la misa takatifu asubuhi ya leo. neno la bwana katika asubuhi ya leo linaongozwa na maneno ya mzaburi katika wimbo wa katikati ee bwana unijalie uhai nami nitazitii kanuni zako. maneno haya siku ya leo yanatuchimbulia chimbuko la somo letu la kwanza leo. Ee mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu. usinitenge na uso wako, wala roho yako mtakatifu usiniondolee. (k) ee mungu, uniumbie moyo safi. 2. unirudishie furaha ya wokovu wako; unitegemeze kwa roho ya wepesi. nitawafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako. (k) 3.

tafakari ya injili ya siku ya leo 25 March Youtube
tafakari ya injili ya siku ya leo 25 March Youtube

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo 25 March Youtube Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la misa takatifu asubuhi ya leo. neno la bwana katika asubuhi ya leo linaongozwa na maneno ya mzaburi katika wimbo wa katikati ee bwana unijalie uhai nami nitazitii kanuni zako. maneno haya siku ya leo yanatuchimbulia chimbuko la somo letu la kwanza leo. Ee mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu. usinitenge na uso wako, wala roho yako mtakatifu usiniondolee. (k) ee mungu, uniumbie moyo safi. 2. unirudishie furaha ya wokovu wako; unitegemeze kwa roho ya wepesi. nitawafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako. (k) 3. Maandishi ya biblia: matendo ya mitume 1:1 14 "lakini mtapokea nguvu roho mtakatifu atakapokuja juu yenu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika yerusalemu na katika yudea yote na samaria, na hata mwisho wa dunia." (matendo 1:8 esv) tafakari: kitabu cha matendo ya mitume kinaanza kwa ahadi yenye nguvu kutoka kwa yesu kwa wanafunzi wake. anapokuwa karibu kupaa. Asali itokayo mwambani” tafakari ya kila siku jumatatu, februari 28, 2022. juma la 8 la mwaka wa kanisa mk 10: 17 27 kujibu wito wa yesu! katika injili ya leo.

tafakari ya injili ya siku ya leo 22 February Youtube
tafakari ya injili ya siku ya leo 22 February Youtube

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo 22 February Youtube Maandishi ya biblia: matendo ya mitume 1:1 14 "lakini mtapokea nguvu roho mtakatifu atakapokuja juu yenu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika yerusalemu na katika yudea yote na samaria, na hata mwisho wa dunia." (matendo 1:8 esv) tafakari: kitabu cha matendo ya mitume kinaanza kwa ahadi yenye nguvu kutoka kwa yesu kwa wanafunzi wake. anapokuwa karibu kupaa. Asali itokayo mwambani” tafakari ya kila siku jumatatu, februari 28, 2022. juma la 8 la mwaka wa kanisa mk 10: 17 27 kujibu wito wa yesu! katika injili ya leo.

tafakari ya injili ya siku ya leo 16 March Youtube
tafakari ya injili ya siku ya leo 16 March Youtube

Tafakari Ya Injili Ya Siku Ya Leo 16 March Youtube

Comments are closed.